Nitakusaidia kutafsiri kiswahili - kiingereza

Hellow!

Karibu kwenye huduma yangu ya tafsiri kitaaluma ya kutoka kiingereza kwenda kiswahili na kiswahili kwenda kiingereza

Ninaandika kwa usahihi,kwa kuzingatia maana halisi na kuakikisha lugha inaeleweka kwa urahisi. Huduma yangu ni bora kwa :

✔Makala

✔Barua rasmi

✔Mitandao ya kijamii

✔Maandishi ya biashara

Kila kazi nitahiwasilisha kwa wakati, ikiwa na ukaguzi wa safuri (grammar ) na mpangilio bora wa maneno.

Nitafurahi kushirikiana na wewe - Agiza sasa!

Terms of work
18
ETH, USDT, TIME
+53

More Gigs from Ian Mbise

You might also like

Show more